Social Icons

Advertise Here

Pages


Sunday, September 2, 2012

Home Decorations: Different Motif African Decor

Home Decorations: Different Motif African Decor: Culture SOFA unaweza Weka Sitting Room/PUB/etc     2 3. 4. 5. 6. ...

Different Motif African Decor



Culture SOFA unaweza Weka Sitting Room/PUB/etc


 2unaweza kuboresha mwonekano wa nyumba yako kwa kutumia vitu halisia na vikaleta mvuto ndani kwako kwa mfano hapo unapoona ni kitchen and dining table meza ya chakula ambayo imesukwa kwa kamba ambazo mara nyingi hupatikani mtoni nakutengenezwa hadi kufikia kusukia vifaa vya nyumbani nakuleta mvuto wa kipekee ndani kwao.





3.mapazia ni moja ya sehemu ya mwonekano mzuri wa nyumba yako kuna aina nyingi zamapazia kulingana na namna ulivyoweka vifaa ndani ya nyumba yako kama umeweka sofa basi mapazia yawe yanayoendana na style yako na kamanikiasili basi na mapazia yawe yanaendana katika uasili wa aina ya viti ambavyo umeweka ndani kwa mfano muonekano huo hapo juu mpambaji ameoanisha mapazia kuelekea kule kule kwenye culture kama viti vinavyoonekana.





                                                  aina tofauti za taa za mapambo zote zikionesha uasilia zinavutia
 





4.
5.
6.
7.


 

Sample text

Sample Text